News

HABARI ndo hiyo. Manchester United inapiga hesabu kali za kumnasa kipa kiboko kwa kudaka, Gianluigi Donnarumma baada ya klabu ...
BUKAYO Saka amewasha moto baada ya kusikia mpango wa Arsenal wa kutaka kumleta Eberechi Eze kwenye kikosi hicho huku jambo ...
UPEPO umebadilika. Ndicho unachoweza kusema kutokana na sakata la usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ...
MIAMBA ya soka nchini, Yanga na Simba inaendelea kusuka vikosi kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ya Ligi za ndani na ile ...
SIKU moja baada ya Singida Black Stars kuweka wazi, imefanya biashara ya kumuuza Josephat Bada kwenda JS Kabylie ya Algeria, ...
KWA mliomuona kocha mpya wa Yanga akikatiza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati anawasili nchini naweza ...
DILI la Simba la kutaka kumnasa winga wa kushoto wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Thapelo Maseko linaonekana kuingia ...
MABOSI wa Tabora United wamekamilisha usajili wa mabeki wawili kutoka visiwani Zanzibar tayari kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao 2025-2026 na kuifanya klabu hiyo ya Ligi Kuu ...
MANCHESTER United imeingia katika mchakato wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya ...
ZILONGWA mbali zitendwa mbali ni msemo wa Kizaramo wenye maana ya 'maneno mbali na vitendo mbali' yaani yanayosemwa ni ...
YANGA ndio mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara. Heshima ya ukubwa wa klabu hii si Tanzania tu, hadi nje ya mipaka na ...
WAKATI Simba ikifukuzia saini ya winga wa Polisi ya Kenya, Mohammed Omar Ali Bajaber kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho ...