SAHAU ishu ya ndoa yake na Hamisa Mobetto. Achana na kitendo cha kusamehe fungate la ndoa na kukipiga katika mechi za Ligi ...
KAMA ni kuteswa kwa mapenzi kwa baadhi ya wasanii wa Bongo, basi ni kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhani ambao ...
MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Mudrik Abdi Shehe ‘Gonda’ amesema licha ya kutoanza vizuri hadi sasa katika timu hiyo michezo ...
Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
NAMNA ambavyo shabiki mmoja na wenzake wamejibana katika Coaster la kutoka Simiyu kuja Dar es Salaam kutazama pambano ...
KOCHA Mkuu wa TMA FC ya jijini Arusha, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema moja ya changamoto kubwa kwenye kikosi hicho ni ...
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa TMA, Maka Mwalwisi amerejea kukifundisha kikosi cha Mbeya Kwanza katika michezo iliyobakia, akichukua ...
MSHAMBULIAJI wa Songea United, Cyprian Kipenye amesema anajisikia vibaya kutokana na ukame wa mabao unaomwandama katika ...
STRAIKA, Harry Kane amepiga mbili wakati Bayern Munich ikiichapa Bayer Leverkusen mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa mtoano ...
USHINDI wa mabao 4-0 walioupata Azam dhidi ya Tanzania Prisons umeleta ahueni kubwa kwa kikosi cha matajiri hao wa Chamazi, ...
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amezitaja Azam na Tabora United kuwa ndizo timu zinazompa presha kwa sasa ...
WAIMBAJI wa Bongofleva, Abigail Chams na Harmonize wanaendeleza ushirikiano wao wa kikazi wa muda mrefu na sasa wamekuja na ...