Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Magharibi, Talib Ali Talib akizungumza na wananchama na wapenzi wa chama hicho katika ufunguzi wa Kampeni za Jimbo la Kwahani. Picha na Zuleikha ...
Bao pekee la Elie Mpanzu limetosha kuifanya Simba iibuke na ushindi jijini Francistown, Botswana dhidi ya wenyeji wao Gaborone United katika mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo, ...
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa ...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu (kushoto) na Mgombea mwenza Ali Makame Issa wakiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kujinadi kwa wananchi katika viwanja vya Tangamano ...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya na Mkurugenzi mtendaji wa TCB Bank Adam Charles Mihayo wakizindua mauzo ya awali ya hatifungani ya miaka 5 ya stawi (stawi bond) Jijini Dar es ...
Tanga. Maandalizi ya mazishi ya miili mitano ya watu wa familia moja waliofariki dunia kwenye ajali ya gari Septemba 13, mkoani Pwani yanaendelea mkoani Tanga, ambapo ibada itafanyika katika Kanisa la ...
Rukwa. Mgombea ubunge wa Sumbawanga mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Aesh Halfan Hilary amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa atahakikisha changamoto ya pembejeo za kilimo ...
Dar es Salaam. Simba imepewa adhabu ya kucheza bila mashabiki katika mechi yake ya nyumbani ya hatua ya kwanza ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu dhidi ya Gaborone United, Septemba 28, 2025 ...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Hamphrey Polepole. Dar es Salaam. Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai imemtaka aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole ...
Daktari Bingwa wa macho kwa watoto Amon Mwakakonyole (kushoto) akizungumza kuhusu matatizo ya macho kwa watoto. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dodoma. Watoto ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu-Dodoma, imemrejesha kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina. Kesi hiyo ilikuwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results