News

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amewataka wachimbaji wa madini hasa wadogo kuepuka kufanya shughuli zao kwa ...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetangaza kuanza ujenzi wa kituo kipya cha watoto wenye usonji katika eneo ...
Diamond na Zuchu wanadaiwa kuoana kwa siri baada ya kusambaa video ikiwaonyesha wawili hao wakifungishwa ndoa.
Dar es Salaam. Ikiwa saa chache zimepita tangu msanii Diamond Platnumz kuchapisha video na picha zikimuonesha akifunga ndoa ...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amesema haijalishi wamepitia magumu kwa kiasi gani kipindi ...
Serikali imesema ilishajiandaa kikamilifu kwa ajili ya kujiimarisha kimapato ili kukabiliana na hali ya namna yoyote iwapo ...
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Dk Oscar Kikoyo ameitaka Serikali kuanza kutoza fedha kwa watumiaji wa daraja la Tanzanite ...
Akizungumza na Mwananchi, Wakili wa warufani hao, Godfrey Wasonga amesema taratibu zote za kukata rufaa zimeshakamilika na ...
Lissu, mwenyekiti wa Chadema anakabiliwa na kesi mbili za jinai, moja ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni ambayo imepangwa leo kuanza kutolewa ushahidi na nyingine ya uhaini, leo inatajwa.
Katika utumishi wake wa kidiplomasia, Monsinyo amewahi kuhudumu katika nchi mbalimbali ikiwemo Zambia, Panama, Ghana, ...
Diamond na Zuchu wanadaiwa kuoana kwa siri baada ya kusambaa video ikiwaonyesha wawili hao wakifungishwa ndoa.
Mshambuliaji wa PSG, Ousmane Dembele amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu 2024/2025 baada ya kuonyesha kiwango bora akiwa ndani ya kikosi cha timu hiyo ya Ufaransa.