Wadau wa masuala ya miundombinu nchini wametaja sababu za makandarasi wa kigeni kutokamilisha miradi wanayopewa ikiwamo ...
‘Mgeni njoo, mwenyeji apone.’ msemo huu unaelezea hali ilivyo jijini Arusha ambapo wageni kutoka maeneo mbalimbali wameanza ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwapa nafasi wanawake katika ngazi mbalimbali ili kufikia ...
Chama cha Kutetea Haki na Masilahi ya Walimu Tanzania (Chakamwata) kinatarajia kumuona Rais Samia Suluhu Hassan kujadili ...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amekemea vikali vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limetangaza mradi wa thamani ya dola milioni 8 sawa na ...
Ni janga, hivi ndivyo ilivyoelezwa na wataalamu wa masuala ya fedha na uchumi walipozungumzia utamaduni wa watu wengi ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Emmanuel Charles Mollel (25) mkazi wa Wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya ...
Wanawake nchini wamekumbushwa kutafakari kwa kina kuhusu matukio ya ukatili yanayoendelea nchini, wakati wakisherehekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, athari zake katika jamii ...
Mamia ya waombolezaji walioshiriki mazishi ya mwanafunzi wa Chuo cha Utalii na Ufundi Marangu, Clara Kimati (21) wamejikuta ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na kwamba hakuna mwanamke atakayebaguliwa katika uongozi na ajira.
Mbunge wa Kisesa (CCM) Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ameiomba Serikali kupitia wabunge kuridhia na kupitisha sheria itakayotoa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results