Dar es Salaam. Simba imetangaza kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ndiye atakuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu hiyo wakati ikisaka Kocha mpya. Na Morocco ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Magharibi, Talib Ali Talib akizungumza na wananchama na wapenzi wa chama hicho katika ufunguzi wa Kampeni za Jimbo la Kwahani. Picha na Zuleikha ...
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa ...
Bao pekee la Elie Mpanzu limetosha kuifanya Simba iibuke na ushindi jijini Francistown, Botswana dhidi ya wenyeji wao Gaborone United katika mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo, ...
Dar es Salaam. Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Kocha Mkuu waSimba, Fadlu Davids. Dar es Salaam. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids na wasaidizi wake wanaendelea na majukumu kama ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imetangaza marekebisho ya kiwango cha kimataifa cha umaskini, ikipandisha kiwango cha chini kutoka Dola 2.15 za Marekani kwa siku (sawa na Sh5,614) hadi Dola 3.00 ...
Klabu ya Simba imethibitisha kwamba, kila kitu kuhusu usajili wa Elie Mpanzu ndani ya kikosi hicho kimekamilika, hivyo ni rasmi sasa yupo tayari kuanza kuitumikia timu hiyo katika mchezo ujao wa Ligi ...
Kigoma/Katavi. Zikiwa zimepita siku 67 tangu kufungwa kwa Ziwa Tanganyika, baadhi ya wavuvi na wafanyabiashara wameeleza machungu wanayopita, huku wakiishauri Serikali kudhibiti uvuvi haramu katika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results