News

Na Mwandishi Wetu Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufikisha bidhaa hizo katika Maonesho yanayoendelea ...
Asasi za Kiraia (AZAKi) zimewasilisha maoni ya ziada ya kuhakiki rasimu ya Dira Ya Taifa ya Maendeleo 2050 chini ya uratibu wa Foundation for Civil Society (FCS) kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya ...
Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, akizungumza katika zoezi la kuhitimisha ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria katika usimamizi wa utumishi wa umma leo ...
Wakuu wa polisi kutoka nchi sita za Afrika Mashariki na Kati wameahidi kushirikiana kukabiliana na uhalifu wa mtandaoni ambao unaonekana kushika kasi katika ukanda huu.
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Ardhini kutoka LATRA kwa kushirikiana na Shirika la Asasi za Kiraia nchini (FCS), wamesaini mkataba wa makubaliano ya miaka mitatu ya programu ...
Serikali imeendelea kutoa msisitizo kwa Vyama vya Ushirika na kuvitaka kujenga misingi imara ya ushirika ili kumlinda mkulima badala ya kumnyonya na kumdhulumu haki zake. Hayo yamesemwa na Waziri wa ...
Wachezaji wa timu ya Simba, viongozi na benchi la ufundi wamekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 25,2024 baada ya kuwasili visiwani ...
Serikali imewapongeza wananchi wa tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika eneo hilo na hivyo kuendeleza falsafa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ametoa wito kwa sekta zote nchini kusoma na kusimamia Sera Mpya ya Taifa ya Biashara na kuifanyia kazi. Wito huo umetolewa leo, Julai 30, ...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetenga Sh milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi katika Mtaa wa Kisiwani uliopo Kata ya Tabata.
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mitaa na kata mbalimbali za jimbo hilo kwa lengo la kutatua kero walizonazo.