News

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi Ofisi Maalum kwa Walipa Kodi Binafsi wa Hadhi ya Juu, ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma kwa kundi la walipa kodi wenye mchango mkubwa katika uchumi wa ...
NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya ...
Atiki Ally Atiki akiwa katika harakati zake za mchezo wa Mpira wa Kikapu (Picha kwa Hisani ya The Citizen). Na Mwandishi Wetu Imekuwa ni kawaida kwa Shule ya Sekondari ya High View na ya Msingi High ...
Jeshi la Sudan limetangaza mafanikio makubwa baada ya kukomboa mji wa Wad Madani, mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo, kutoka mikononi mwa vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF). Tukio ...
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), umesema unaendelea kuenzi na kulinda juhudi zote zilizofanywa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wakati wa uhai wake katika kulinda na ...
Impostor syndrome was identified by Pauline Clance and Suzanne Eames in an article in 1978. Initially, psychologists believed that the phenomenon affects only women. The reasons were social inequality ...
Uhakika wa ajira imekuwa ni changamoto kubwa inayowakabili vijana wengi wanaohitimu kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Hatua hiyo imekuwa ikipelekea wahitimu wengi kuzunguka huku na kule wakiwa ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Soft, Ephraim Swilla(katikati) akizungumza wakati wa kutambulisha mfumo huo kwa waandishi wa habari, kulia kwake ni Mkuu wa Masoko wa Selcom, Shumbana Walwa na kushoto ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti, akizungumza kuhusu sheria ya ndoa na utekelezwaji wa programu ya kurudi shule kwa watoto waliokatisha masomo. Na Nora ...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli, akimsikiliza mwananchi wa Mtaa wa Stakishari wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kutatua kero katika Kata ya Kipawa, Dar es Salaam. Na Nora ...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa. Na Clara Matimo, Mwanza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema wakazi wote waliovamia, kujenga nyumba na kuishi ...