News

Akiwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA mwaka 1992, Mbowe anafahamika kama mtu mahiri kwenye kupanga mikakati ya kisiasa inayomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa wenye nguvu za kisiasa za muda mrefu nchini humo.
Hata hivyo, baadhi ya waasisi wa Chadema - ambao si wengi kwa sasa, wanamwona Lissu kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa na siasa zake zinaonekana haziendani sana na misingi ya Chadema ya awali.
Wabunge 19 wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema walioitwa na kamati kuu ya chama hicho kwa ajili ya kuhojiwa kutokana na kukiuka masharti ya chama hicho wamegoma kufika mbele ya ...
Juhudi za kuwasaka waasisi wa njama iliyoshindwa ya mashambulio ya mabomu mjini London zimeshika kasi nchini Uengereza.Polisi imesambaza picha kadhaa za watuhumiwa zilizonaswa na kamera katika ...