News

Akiwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA mwaka 1992, Mbowe anafahamika kama mtu mahiri kwenye kupanga mikakati ya kisiasa inayomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa wenye nguvu za kisiasa za muda mrefu nchini humo.
Hata hivyo, baadhi ya waasisi wa Chadema - ambao si wengi kwa sasa, wanamwona Lissu kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa na siasa zake zinaonekana haziendani sana na misingi ya Chadema ya awali.
17.12.2024 17 Desemba 2024. Chama kikuu cha upinzani, Chadema kimefungua dirisha kwa wanachama wake kuchukua fomu kuwania nafasi za uongozi, huku mmoja ya kigogo wake, Tundu Lissu, akiwa wa kwanza ...
Ngugi wa Thiong’o, a groundbreaking novelist, playwright and memoirist whose writings explored the iniquities and ambiguities of colonialism in his native Kenya as much as the misdoings of the ...
Juhudi za kuwasaka waasisi wa njama iliyoshindwa ya mashambulio ya mabomu mjini London zimeshika kasi nchini Uengereza.Polisi imesambaza picha kadhaa za watuhumiwa zilizonaswa na kamera katika ...