News

Nchini Burkina Faso, serikali imetangaza kuvunja Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (CENI). Mswada uliopitishwa siku ya Jumatano, Julai 16, na Baraza la Mawaziri utawasilishwa kwa Bunge la taifa la ...
Several houses and structures in Barangay Indahag, Cagayan de Oro City were damaged by strong winds. Residents said the strong winds caused a tree to fall and ripped off roofs in Habitat Phase 1, ...
Tume ya Umoja wa Ulaya, imetangaza kuipa Ukraine msaada wa Euro Bilioni 2.3, ili kujenga upya miundombinu yake iliyoharibiwa tangu ilipovamiwa na Urusi Februari mwaka 2022.
Agather Atuhaire, Boniface Mwangi wafungua shauri katika Mahakakama ya Afrika Mashariki dhidi ya Tanzania Rejea inapinga ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na vitendo vya ...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea ...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kukusanya Maoni ya Maboresho ya Kodi, Balozi Ombeni Sefue, ameongoza wajumbe wa tume hiyo katika zoezi la kukusanya maoni ya wadau wa kodi, likianza rasmi mkoani Mwanza.
Mbali na hayo, Jaji Kazi amesema Tume inaendelea kujipanga na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ikiwemo kuendesha uchaguzi huo kwa uhuru na haki na wenye kuzingatia sheria na kuhakikisha kila ...
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imeivunja rasmi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (CENI), ikieleza kuwa chombo hicho kimekuwa kikisababisha matumizi mabaya ya fedha za umma na kuruhusu ushawishi wa ...
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fred Msemwa ametaja sifa za Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Dk Msemwa alizitaja sifa hizo wakati wa uzinduzi wa dira hiyo uliofanyika jijini Dodoma ...
Kulingana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo, Dira 2050 imeweka rekodi pia ya kuwa dira yenye kuzingatia maoni mengi zaidi ya wananchi ambapo takribani ...