News

Ni tatizo lililogubikwa na uvumi na imani potofu miongoni mwa wanawake, hali inayotoa fursa kwa baadhi ya watu wachache ...
Akizungumza katika kikao na wanahabari, Kagame amesema kuwa hatua zozote za kutatua mzozo unaoendelea huko DR Congo ni lazima ...
Wafanyakazi wa zamani wanafichua maelezo ya "mambo ya ajabu" - karamu zinazochochewa na dawa za kulevya zinazofanyika katika ...
Picha halisi ya mahitaji nchini Iran imeanza kuonekana baada ya vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran, vilivyosababisha mamia ya vifo, hospitali kadhaa kushambuliwa, na ongezeko la wakimbizi wa ...
Umoja wa Ulaya-EU umependekeza kufanya aina zote za mikunga, ikiwa ni pamoja na mikunga ya Japani, kuwa chini ya kanuni za biashara za mkataba wa kimataifa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema hawezi kufanya majadiliano na Marekani wakati watu nchini mwake “wanapigwa mabomu.” ...
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Careen-Rose Rwakatale, amewataka viongozi wa CCM katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kuhakikisha wanajitoa kikamilifu katika ujenzi wa ...
Hili ni tangazo la kijasiri kutoka Beijing: China itaondoa ushuru wote wa bidhaa zinazouzwa nje kutoka nchi 53 za Afrika ambazo inadumisha uhusiano wa kidiplomasia nazo. Hadi sasa, ni nchi 33 ...
Jifunze jinsi ya kutengeneza picha, madoido ya maandishi na video kwa kutumia Adobe Firefly, moja kwa moja kutoka kwa kivinjari na matokeo yaliyo tayari kwa matumizi ya kibiashara.
Serikali mpya ya Ujerumani imekubaliana kusitisha kuwaleta wanafamilia wa wakimbizi walio na hadhi ya ulinzi wa muda kuhamia Ujerumani. Hatua hii tata itawaathiri hasa familia za Kisyria.
Uzinduzi wa sera hiyo unaendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania kimataifa kwa kuweka mkazo katika diplomasia ya uchumi, ulinzi wa maslahi ya taifa, ushirikiano wa kimataifa na ushawishi wa maendeleo ...