News

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameyasema hayo leo jumamosi Julai 19 mwaka 2025 kwenye eneo la Sagara akimkabidhi ...
Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) imepokea boti mbili mpya za utafutaji na uokoaji (SARs) ambazo ni ...
Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 62.6 iliyojengwa katika halmashauri saba za zilizopo katika Mkoa wa Singida ...
Sendiga amesema ukiwa katika Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa kilomita 1,197.10 kupitia halmashauri ...
Majaji walitazama rekodi za biashara ya ngono, pamoja na picha za uchunguzi kutoka hoteli ya Los Angeles zikimuonyesha mwanahip-hop akimburuta Cassie chini na kumpiga.
MTIBWA Sugar imerejea Ligi Kuu Bara, ikiwa na moto ikianza kupiga hesabu za maana kwa upande wa usajili ikisuka jeshi lake litakalowabakisha wasishuke.
‘TUKUTANE msimu ujao’. Ni kauli ya kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah akielezea furaha yake kuibakiza timu hiyo Ligi Kuu, akibainisha kuwa nyota wake na uongozi umempa heshima.
Runinga ya serikali ya Korea Kaskazini imerusha picha za video za kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un akitazama pamoja na ujumbe kutoka Urusi, onyesho la sanaa ya kuwaenzi wanajeshi.
Kila asubuhi, alfajiri, Anwar Hawas hupita katika mitaa iliyoharibiwa ya Gaza, mifuko yake imejaa vipeperushi vya picha vinavyoonesha sura ya mvulana wa umri wa miaka 17.
Picha halisi ya mahitaji nchini Iran imeanza kuonekana baada ya vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran, vilivyosababisha mamia ya vifo, hospitali kadhaa kushambuliwa, na ongezeko la wakimbizi wa ...
Tangu kuondolewa madarakani kwa Assad mnamo Desemba mwaka jana, serikali mpya ya Syria imekuwa ikifanya jitihada za kurejesha uhusiano na jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na kutaka vikwazo vyote ...