News

Picha mpya za satelaiti za kituo cha anga cha Belaya cha Urusi katika eneo la Irkutsk zinaonyesha matokeo ya uvamizi wa ndege zisizo na rubani za Ukraine.
Sendiga amesema ukiwa katika Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa kilomita 1,197.10 kupitia halmashauri ...
Picha ghushi zilizoundwa kwa kutumia zana za akili bandia (AI) zinazomuangazia Donald Trump zimeonekana kwenye mitandao ya kijamii wiki iliyopita. Baadhi ya picha hizo zilionyesha kukamatwa kwa ...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema Mwenge wa Uhuru umekimbizwa jumla ya kilomita 895 na kukagua miradi 52 ...
Wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichoko Kata ya KIA, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, ambao ni jamii ya wafugaji wa Kimasai, ...
Chapisho hilo linajumuisha picha ya ajali ya ndege na kile kinachoonekana kuwa wanajeshi katika eneo hilo. Mkewe makamu wa rais pia alikuwepo kwenye ajali hiyo.
Kuhusiana na vita kati ya Israeli na kundi la Hamas, watu mashuhuri wametoa maoni yao lakini baadhi ya machapisho yanadai kuonesha picha za Lionel Messi akiwa ameshikilia bendera ya Israel au ...
Korea Kaskazini imetoa picha za mtambo wake wa kurutubisha madini ya urani kwa mara ya kwanza leo Ijumaa, zikimuonyesha kiongozi Kim Jong Un akiutembelea na kutoa wito wa kuongeza mashine zaidi za ...
Bilionea huyo alichukuliwa alama za vidole na kupigwa picha ya rekodi za polisi za wahalifu na kisha kutoa dhamana ya Dola laki 200,000 na masharti mengine ili kuachiliwa.