News

Benki ya NMB imekutana na wafanyabiashara wakubwa 120 wa Mkoa wa Mwanza na kuwahakikishia uwezo wa kupata mikopo mikubwa.
Wahenga wanatuasa kuwa elimu ni ufunguo na pia, katika kuisaka, hakuna mwisho. Elimu, kama hewa, iko mahali popote.
Job and his young wife could not believe their eyes when a scan revealed that they were going to get three babies at once. He doesn't have a job to provide.
Rais Donald Trump wa Marekani amesema anataraji kuzipandishia ushuru baadhi ya nchi kwa kati ya asilimia 15 na 20.