Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameelezea utayari wa kusambaza madini adimu na madini mengine kwa Marekani kama mbadala wa kuendelea kupata msaada wa kijeshi. Zelenskyy alisema hayo katika ...
Ki, named after its chef Ki Kim, serves a multi-course counter tasting menu for $285 per person that weaves through a deeply personal narrative while exploring various facets of Korean ingredients ...
Aston Villa wamejiunga na mbio za kumsaka mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha, 25, ambaye pia anavutia Nottingham Forest, Chelsea, Arsenal, Tottenham na Manchester United. (Barua ...
Urusi inasema iko "tayari kwa mazungumzo yenye usawa, na ya kuheshimiana", ikijibu tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuiwekea vikwazo ikiwa "haitamaliza vita vya kipuuzi" nchini Ukraine.
Nilipokea ofa kutoka kwa Al-Masry Club hapo awali, lakini ofa hiyo ilikataliwa na Yanga” Mbali na Aziz KI, klabu ya Wydad imekuwa ikihusishwa pia kumpigia hesabu mshambuliaji Clement Mzize, ambaye ...
Desemba 10, 2024: Wanathibitisha kuchumbiana Akisherehekea kutimiza umri wa miaka 30 hapo Desemba 10, 2024, Hamisa alichapisha picha yake Instagram ikiwa imepambwa na kalenda na ndipo akathibitisha ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump licha ya utawala huo kuonyesha msimamo mkali kuelekea Tehran. Akizungumza ...
Wananchi wa Itilima wanapaswa kuwa na uelewa wa hali ya juu kuhusu maendeleo haya,” amesema. Katika sekta ya afya, Majaliwa ameeleza kuwa wilaya hiyo tayari ina zahanati 37, na lengo ni kuhakikisha ...
REAL Madrid, wako tayari kuongeza kasi ya kumsaka beki wa pembeni wa Liverpool Trent Alexander-Arnold, huku Los Blancos wakiwa na uhakika wa kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza, 26.