NAHODHA wa Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta, amesema Tanzania imepangwa katika kundi gumu kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), ambazo zitafanyika mwaka huu ...