Dar es Salaam. Simba imetangaza kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ndiye atakuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu hiyo wakati ikisaka Kocha mpya. Na Morocco ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Magharibi, Talib Ali Talib akizungumza na wananchama na wapenzi wa chama hicho katika ufunguzi wa Kampeni za Jimbo la Kwahani. Picha na Zuleikha ...
Bao pekee la Elie Mpanzu limetosha kuifanya Simba iibuke na ushindi jijini Francistown, Botswana dhidi ya wenyeji wao Gaborone United katika mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo, ...
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa ...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu (kushoto) na Mgombea mwenza Ali Makame Issa wakiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kujinadi kwa wananchi katika viwanja vya Tangamano ...
Kocha Mkuu waSimba, Fadlu Davids. Dar es Salaam. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids na wasaidizi wake wanaendelea na majukumu kama ...
Dar es Salaam. Viongozi, wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo watalazimika kugawana kumbi za Mahakama katika kufuatilia mienendo ya kesi mbili tofauti ...
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimemvua uanachama kada wake Monalisa Ndala ambaye hivi karibuni aliibuka kupinga uteuzi wa mgombea urais wa chama hicho Luhaga Mpina. Monalisa amevuliwa ...
Dar es Salaam. Abiria wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam, leo wamekuwa katika wakati mgumu baada ya usafiri huo kuwa adimu kutokana na daladala nyingi kukodiwa na makada wa Chama cha ...
Makamu Mwenyekiti CCM Bara Stephen Wassira akizungumza na wafuasi wa chama hicho mara baada ya kuwasilia mkoani hapa. Picha na Hawa Mathias Mbeya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, ...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya na Mkurugenzi mtendaji wa TCB Bank Adam Charles Mihayo wakizindua mauzo ya awali ya hatifungani ya miaka 5 ya stawi (stawi bond) Jijini Dar es ...
Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga amefariki dunia. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu ...