News

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitafanya mkutano wa dharura kutathmini hali waliyoiita ni mashambulizi ...
Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila Mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme katika ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezuiwa kwa siku 14 kufanya shughuli zozote zile za kichama na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam. Zuio hilo linatokana na kesi namb ...
Union Minister Nitin Gadkari asserted on Monday that Indian road infrastructure will be comparable to America's in another ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kisihusishwe na vurugu zilizotokea leo wilayani Igunga, mkoani Tabora katika mkutano wa ...
“Kauli mbiu ya siku ya leo ni mageuzi ya mashirika ya umma na wajibu wake kuchangia maendeleo ya Tanzania. Kauli mbiu hii inaweka bayana maono mapana ya serikali na matarajo ya Tanzania kuhusu nafasi ...
Mwanachama wa chama cha CHAUMMA, Masoud Mambo, amesema Mkoa wa Kigoma umetengwa kwa muda mrefu, hali ambayo imezuia fursa ...
Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2025/26, serikali imeweka kwenye mipango yake ujenzi wa barabara za zege zenye urefu wa ...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) ambaye pia ni ...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kwa kushirikiana na Serikali ya Japani, limeandaa mafunzo maalum ya ulinzi ...
Serikali imesema hadi sasa hapa nchini hakuna athari za kisayansi ambazo zimesababishwa na ufugaji wa samaki kwa njia ya ...
Waajiriwa wapya 1,896 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wametakiwa kutojihusisha na vitendo vya rushwa katika utekelezaji ...