News

Virutubisho huwa kama suluhu za haraka za changamoto za afya, zikisaidia usingizi bora, ngozi inayong'aa, umakini ulioboreshwa, na maisha marefu zaidi.
UKUAJI wa mtoto kibaiolojia huanza kuhesabiwa tangu siku ya kwanza mimba inapotungwa. Wataalamu wa afya wanazitaja siku 1,000 za ukuaji huo kuwa muhimu zaidi kwa afya ya mama na mtoto. Wiki 36 na ...
Kwa msaada wa kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia, pamoja na ufuatiliaji wa mwandishi wa habari wa Nipashe, mama huyo ameweza kuokoa nyumba hiyo, ambayo ilitarajiwa kuuzwa na kampuni ya ...
Mojawapo ya sababu inayochangia vijana kuwa na changamoto kuhusu afya ya uzazi na hedhi salama ni ukosefu wa elimu, imeelezwa.
Maambukizi ya VVU hupatikana katika damu, manii, majimaji ya uke na maziwa ya mama, na ni nadra kuambukizwa kutokana na machozi, mkojo au mate ya mtu; aina hii ya majimaji hubeba virusi hivyo lakini ...
Compiled by the Official Charts Company, the UK's biggest physical singles of the week, counting sales of CDs, vinyl and other physical formats, across a seven day period.
Jaridani leo tunaangazia mada kwa kina inayokupeleka katika Hospitali hiyo kusikia wanavyolitekeleza suala la unyonyeshaji hasa kuwaelimisha akina mama wenye hofu ya kunyonyesha kutokana na changamoto ...