News

Mkoa wa Pwani umevunja rekodi katika msimu wa mnada wa tatu wa zao la ufuta, baada ya kuuza zaidi ya tani elfu saba za zao ...
Ukiacha wakuu wa mikoa, viongozi wengine walioachwa kwenue uteuzi huo ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli ...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imezindua rasmi Mpango Kabambe wa Maji, Usafi wa Mazingira na Usafi Binafsi (WASH Master ...
Miradi hiyo inatekelezwa na Kampuni ya M/s Mc David Tanzania Co Ltd ya jijini Dar es Salaam chini ya Wakala wa Barabara za ...
John Pombe Magufuli amewafuta kazi wakuu wawili wa mikoa na kuwateua wakuu 139 wa wilaya katika mabadiliko makubwa ya sekta ya umma BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo ...
Vilevile, miongoni mwa viongozi walioachwa katika uteuzi huo ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera ambapo ...
Wanasiasa wengine kutoka upinzania waliobaki madarakani ni Julius Mtatiro (mkuu wa wilaya Tunduru), David Kafulila(Mkuu wa Mkoa wa Simiyu), Juma Homera (Mkuu wa Mkoa wa Mbeya).
Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Kivu ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo . Ripoti kutoka huko zinadokeza kuwa fununu kuhusu kukamatwa kwa ...
Ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaripotiwa katika maeneo yanayokaliwa na waasi wa M23 katika mkoa wa Kivu Kusini, hasa katika mji wa Bukavu. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanashutumu ...
Vikosi vya Urusi vimeushambulia mji wa Zaporizhzhia nchini Ukraine kwa makombora leo Jumapili na kuwajeruhi takriban watu 16.
Polisi mkoani Mbeya nchini Tanzania, wanashikilia watu wawili kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa miaka sita Rose Japhet, aliyeuawa kutokana na imani za kishirikina. Imechapishwa: 13/05/2019 - 08:24 ...
MBEYA; WAFUNGWA 73 kutoka magereza mbalimbali nchini, wamehitimu mafunzo ya ufundi stadi katika fani mbalimbali Chuo cha ...