News

Mkoa wa Pwani umevunja rekodi katika msimu wa mnada wa tatu wa zao la ufuta, baada ya kuuza zaidi ya tani elfu saba za zao ...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imezindua rasmi Mpango Kabambe wa Maji, Usafi wa Mazingira na Usafi Binafsi (WASH Master ...
Vilevile, miongoni mwa viongozi walioachwa katika uteuzi huo ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera ambapo ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Steven Kipara (38), mkazi wa Ipwizi Wilaya ya Mbeya kwa tuhuma za kupanga njama ...
Miradi hiyo inatekelezwa na Kampuni ya M/s Mc David Tanzania Co Ltd ya jijini Dar es Salaam chini ya Wakala wa Barabara za ...
Hatua hiyo ni jibu la ushuru wa Marekani wa asilimia sawa na hiyo kwa bidhaa za China, iliyotangazwa na Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii. BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo ...
The Utica City School District Board of Education received a proposed 2025-2026 district budget plan totaling $290,141,927 at a special meeting Tuesday at the district office in Utica, New York.
Ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaripotiwa katika maeneo yanayokaliwa na waasi wa M23 katika mkoa wa Kivu Kusini, hasa katika mji wa Bukavu. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanashutumu ...
Ili kutathimini maendeleo ya mradi, UNICEF imetembelea moja ya maeneo ambako mradi huo unatekelezwa; Chunya moja ya wilaya 7 za mkoa wa Mbeya kusinimagharibi mwa Tanzania. Mradi wa GoTHOMIS ambao ni ...
Akikutana na mwenzake wa Ukraine mjini Stockholm, Waziri wa Ulinzi wa Uswidi, Pål Jonson, alisema juhudi za kukatisha tamaa za nchi za Magharibi kuiunga mkono Ukraine hazitafanya kazi.
Serikali ya Tanzanian inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na kudorora kwa hali ya haki za binadamu nchini kabla ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa Tanzania Bara mnamo Novemba 27, 2024.
Vikosi vya Urusi vimeushambulia mji wa Zaporizhzhia nchini Ukraine kwa makombora leo Jumapili na kuwajeruhi takriban watu 16.