News

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura, mkoani Dar es Salaam na sasa litatamatika Machi 25, 2025. Hatua hiyo ...