Tume ya Umoja wa Mataifa, UN imeanza mijadala kuhusu haki za wanawake huku Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres akionya kuwa “manufaa yaliyopatikana kwa jasho yanaanza kurudishwa nyuma.” ...