News

MWENGE wa Uhuru juzi ulianza rasmi mbio zake kwa mwaka 2025 ambazo zitatamatika Oktoba 14 ambapo pia huadhimishwa kama Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, maarufu ...
WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amefanya ziara ya siku moja kukagua maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa katika uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha. Majaliwa amesema ...