News

Sanmi Adegoke hakuwa na mawasiliano yoyote katika ulimwengu wa sekta ya ujenzi wa nyumba. Katika tasnia ambayo kuna Wakurugenzi Wakuu wachache sana weusi, alipata mafanikio kama mgeni kwa kutumia ...
Mwanamke mmoja wa Edinburgh anasema "anahuzunishwa na kutamaushwa" baada ya kulazimishwa kupaka rangi ya mlango wake wa mbele ya pinki.
Mwanahabari na mpiga picha Mweusi wa Afrika Kusini Peter Magubane, ambaye kwa miongo kadhaa aliandika ghasia za utawala wa kibaguzi, ikiwa ni pamoja na uasi wa wanafunzi wa Soweto mwaka 1976 ...
Polisi Tanzania wameizingira nyumba ya Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, Chadema, Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, wakati shauri la kupinga kusikilizwa kwa kesi ya Lissu ...
Rais William Ruto amewakosoa wabunge kwa kutelekeza agenda yake ya kutoa nafasi za ajira zikiwemo nafasi kwenye mataifa ya nje na badala yake amewataka kuunga mkono ajenda hiyo inayonuia kupunguza ...