News

Israel inasema imewashambulia kwa mabomu wanajeshi wa serikali ya Syria karibu na Suweida, walipokuwa wakiingia katika mji ...
Ni tatizo lililogubikwa na uvumi na imani potofu miongoni mwa wanawake, hali inayotoa fursa kwa baadhi ya watu wachache ...
Wafanyakazi wa zamani wanafichua maelezo ya "mambo ya ajabu" - karamu zinazochochewa na dawa za kulevya zinazofanyika katika ...
Majaji walitazama rekodi za biashara ya ngono, pamoja na picha za uchunguzi kutoka hoteli ya Los Angeles zikimuonyesha mwanahip-hop akimburuta Cassie chini na kumpiga.
Picha halisi ya mahitaji nchini Iran imeanza kuonekana baada ya vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran, vilivyosababisha mamia ya vifo, hospitali kadhaa kushambuliwa, na ongezeko la wakimbizi wa ...
Kila asubuhi, alfajiri, Anwar Hawas hupita katika mitaa iliyoharibiwa ya Gaza, mifuko yake imejaa vipeperushi vya picha vinavyoonesha sura ya mvulana wa umri wa miaka 17.
Umoja wa Ulaya-EU umependekeza kufanya aina zote za mikunga, ikiwa ni pamoja na mikunga ya Japani, kuwa chini ya kanuni za biashara za mkataba wa kimataifa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema hawezi kufanya majadiliano na Marekani wakati watu nchini mwake “wanapigwa mabomu.” ...