News
Israel inasema imewashambulia kwa mabomu wanajeshi wa serikali ya Syria karibu na Suweida, walipokuwa wakiingia katika mji wenye wakazi wengi wa Druze kufuatia siku mbili za mapigano mabaya ya kidini.
Mfanyikazi wa shambani mzungu kutoka Afrika Kusini anayetuhumiwa kuwaua wanawake wawili weusi anasema alilazimishwa kuwalisha ...
Ubelgiji iliwakama wanajeshi wawili wa Israeli kwa kuwashuku uhalifu wa kivita katika Ukanda wa Gaza, katika eneo la Palestina.
Serikali inapanga kutumia udongo wenye kiwango kidogo cha dutu za miyonzi kwa ajili ya kazi za umma na miradi mingine ili kupunguza uwingi wa utupaji wa mwisho wa udongo huo kadiri iwezekanavyo.
Nchini Libya, hatua ya uongozi wa eneo la Mashariki unaoongozwa na kiongozi wa kijeshi Jenerali Khalifa Haftar, kuufukuza ujumbe kutoka nchi za Umoja wa Ulaya, unaelezwa na wachambuzi wa mambo ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kunashuhudiwa kitisho cha kuenea kwa imani za itikadi kali magerezani, hasa yale yanayopatikana katika maeneo yenye migogoro.
Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
What’s Happening in the Markets This Week Palantir and Uber among companies to report earnings.
Located in south-western Uganda, at the junction of the plain and mountain forests, Bwindi Park covers 32,000 ha and is known for its exceptional biodiversity, with more than 160 species of trees and ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results