News

Sendiga amesema ukiwa katika Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa kilomita 1,197.10 kupitia halmashauri ...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema Mwenge wa Uhuru umekimbizwa jumla ya kilomita 895 na kukagua miradi 52 ...
Wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichoko Kata ya KIA, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, ambao ni jamii ya wafugaji wa Kimasai, ...
Majaji walitazama rekodi za biashara ya ngono, pamoja na picha za uchunguzi kutoka hoteli ya Los Angeles zikimuonyesha mwanahip-hop akimburuta Cassie chini na kumpiga.
Runinga ya serikali ya Korea Kaskazini imerusha picha za video za kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un akitazama pamoja na ujumbe kutoka Urusi, onyesho la sanaa ya kuwaenzi wanajeshi.
Kila asubuhi, alfajiri, Anwar Hawas hupita katika mitaa iliyoharibiwa ya Gaza, mifuko yake imejaa vipeperushi vya picha vinavyoonesha sura ya mvulana wa umri wa miaka 17.
Waandamanaji wameonekana wakiwa wamebeba picha za makamanda waliouwawa tangu vita kati ya Iran na Israel vilipoanza na kupeperusha bendera za Iran na kundi la Hezbollah la Lebanon.
SOMA ZAIDI Mwenge wazindua mradi wa bil 2.7/- Nawapongeza Tanga Uwasa kwa kutekeleza agizo la Rais Samia la kuja na suluhisho la malalamiko ya ankara za maji kutoka kwa wananchi kwani kupitia mita ...
Pande zote mbili zimeanzisha mashambulizi mchana wa leo. Israel imeendeleza mashambulizi huku Iran ikiendelea kurusha makombora dhidi ya Israel.
Jifunze jinsi ya kutengeneza picha, madoido ya maandishi na video kwa kutumia Adobe Firefly, moja kwa moja kutoka kwa kivinjari na matokeo yaliyo tayari kwa matumizi ya kibiashara.
Free-agent pass rusher Za'Darius Smith is holding out hope of returning to Detroit. The Lions cut the veteran edge rusher earlier this year in a cap-saving move.
Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye thamani ya sh bilioni 2.7 ambao utahudumia wakazi zaidi ya 4000 katika Kijiji cha Funta na Manga katika Halimashauri ya Bumbuli mkoani Tanga. Mradi huo ...