News

Sendiga amesema ukiwa katika Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa kilomita 1,197.10 kupitia halmashauri ...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema Mwenge wa Uhuru umekimbizwa jumla ya kilomita 895 na kukagua miradi 52 ...
Wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichoko Kata ya KIA, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, ambao ni jamii ya wafugaji wa Kimasai, ...
Runinga ya serikali ya Korea Kaskazini imerusha picha za video za kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un akitazama pamoja na ujumbe kutoka Urusi, onyesho la sanaa ya kuwaenzi wanajeshi.
Katika siku za hivi karibuni, vyombo vya habari vya Iran na baadhi ya maafisa wamechapisha ripoti nyingi za "ndege kadhaa za kivita za Jeshi la Anga la Israel F-35 zikilengwa.
Picha za satelaiti zilizopigwa Juni 29 zinaonyesha shughuli za ukarabati zikiendelea katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran, ambacho hivi karibuni kilishambukliwa na mashambulizi ya Marekani.
Picha za satelaiti, zinaonyesha uharibifu katika njia za kuingia kwenye eneo la Fordo kilipo kinu cha nyuklia nchini Iran baada ya mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyolenga kituo hicho siku ya ...
Majaji walitazama rekodi za biashara ya ngono, pamoja na picha za uchunguzi kutoka hoteli ya Los Angeles zikimuonyesha mwanahip-hop akimburuta Cassie chini na kumpiga.
Waandamanaji wameonekana wakiwa wamebeba picha za makamanda waliouwawa tangu vita kati ya Iran na Israel vilipoanza na kupeperusha bendera za Iran na kundi la Hezbollah la Lebanon.
Robert Giard spent his career photographing hundreds of cultural luminaries and niche literary figures in the hopes of “recording something of note” about the gay experience.