News

Wananchi mbalimbali waliojitokeza kuhitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge ambazo kitaifa zimefanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe 14 Oktoba, 2024. Wananchi mbalimbali waliojitokeza ...
Papa alidhamiria kuwa na Kanisa jumuishi zaidi, hizi hapa ni baadhi ya picha za kushangaza za maisha yake na upapa mpaka anafariki akiwa na umri wa miaka 88. Chanzo cha picha, Remo Casilli/Reuters ...
AI ambayo inaweza kuunda maandishi, picha, sauti na video kulingana na vidokezo rahisi vya maandishi - ilisaidia kutoa baadhi ya filamu zilizotunukiwa tuzo za juu mnamo mwezi Machi. Lakini Chuo ...
KATIKA majiji mengi nchini kilio kikubwa ni kuzagaa kwa taka ambazo zinadaiwa kutozolewa kwa muda mrefu na kuharibu mazingira ...
Hii ni baada ya kupungua kwa kasi kwa ugonjwa huo katika muongo uliopita, kutokana na matumizi ya chanjo ya homa ya manjano katika programu za chanjo za kawaida. Mlipuko huu wa magonjwa unatokea ...
Utafiti unaonesha kuwa zaidi ya watu milioni 690 kwa sasa wanaishi katika umaskini uliokithiri, wakiishi kwa chini ya dola za Kimarekani 2.15 kwa siku. Aidha, takriban watu bilioni 2.8, zaidi ya ...
Sio Instagram, Tiktok, X wala Facebook. Kila mtandao wa kijamii unaoingia, ilikuwa ni picha za mastaa wa Bongo wakiwa harusini pamoja na hashtag ya #JP2025. Wengine hadi walikuwa wanatengeneza ‘meme’ ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili ... ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na ...
Uongozi wa timu ya Junguni United iliyopo Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) umewafukuza wachezaji saba wa timu hiyo kwa tuhuma za kujihusisha na michezo ya kubashiri matokeo ya mchezo (betting). Wachezaji ...
ILIKUWA suala la wazi wazee wa makarasha, KenGold wasingebakia Ligi Kuu Bara kwa vile walionyesha dalili nyingi za kurudi Championship. Hawakuwa timu iliyoweka dhamira ya dhati ya kubaki licha ya ...