Mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa tena kitovu cha mzozo wa kikanda uliodumu kwa miongo kadhaa. Mapigano kati ya kundi lenye silaha linalojulikana kwa jina la ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameweka ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zote za chuma na alumini zinazoagizwa kutoka nje, ushuru huo utaanza kutumika tarehe 12 Machi. Hii itaathiri wasambazaji ...