Wanaanga wa NASA Sunita Williams na Butch Wilmore, ambao wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu kwa muda wa miezi 9, hatimaye watarejea duniani. Wanaanga hao walienda kwenye kituo ...
Baada ya kuajiriwa kwa zaidi ya miaka, 20 Rhoda Magoiga sasa anamiliki kampuni iliyoajiri zaidi ya watu 20 na vibarua 60 akionyesha mfano wa ukombozi wa wanawake kiuchumi. “Matokeo niliyopata kwa ...