Pia, Macha ameipongeza Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga kwa kasi kubwa ya kusikiliza mashauri. Amesema kuwa mwaka jana (2024) hakuna viporo vya mashauri na kwamba mashauri yote yalikuwa ...
Noble alionyeshwa kadi nyekundu kipindi ambacho timu yake ilikuwa imemaliza idadi ya wachezaji wanaotakiwa kubadilishwa na kulazimu mchezaji mmoja wa ndani kusimama langoni. Hata hivyo, mapema Simba ...
Shopify removed Kanye West's Yeezy website after he only listed a shirt with a swastika on it following a Super Bowl ad ...
Ametaja azimio lingine ni serikali iongeze kasi ya kushirikiana na sekta binafsi kujenga maghala ya kutosha katika maeneo ya wakulima. Mwanyika amesema pia Bunge limeazimia serikali itoe elimu kwa ...
Miaka ya 1990 hapa nchini kulikuwa na winga maarufu Edibily Lunyamila aliyekuwa na kasi ya juu kuwazidi mabeki. Wanasoka wote wanahitaji kuwa na kasi uwanjani na kadri mchezaji anavyokuwa na kasi ...
"Moto ulianzia kule juu ndipo mafundi sofa na mafundi gereji tukaanza kuuzima kwa kutumia maji na mchanga Ingawaje hatukuweza kuuzima, lakini tuliupunguza kasi ya kuenea kwani endapo tungetegemea ...
Dube alifunga kwa kichwa likiwa bao la saba kwake kabla ya makocha wa timu zote kufanya mabadiliko ya wachezaji na kuongeza kasi ya mchezo. Duke Abuya aliyetokea benchini aliiandikia Yanga bao la sita ...
“Raise your ya ya ya.” Pretty self-explanatory, right? Well, maybe not. If that phrase confuses you, but you've heard your kids belt it out, they're probably familiar with a mega-viral TikTok ...
Jeshi la Kongo jana lilijaribu kuipunguza kasi ya waasi wa M23 wanaosema wameukamata mji mzima wa Goma. De Perre amesema MONUSCO imepokea idadi kubwa ya watu wanaotafuta hifadhi, wakiwemo maafisa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni moja kati ya nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati. Kupitia mpango huo unatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi ...
Miji sita na viwanja tisa vimechaguliwa kwa ajili ya mashindano ya soka ya Afrika, ambayo yataanza tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026. Utaratibu wa maandalizi ya mashindano ya Kombe la ...