MABINGWA watetezi, Yanga wamemkaribisha Kocha Mkuu mpya, Miloud Hamdi, kwa kupata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa KMC ...
Akizungumza kuhusu mechi hiyo, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, alisema amejipanga kuingia uwanjani kucheza kwa nguvu na kasi kama walivyokuwa wakicheza katika michezo ya mashindano ya Ligi ya ...