News

Amesema bila kuingia katika uchaguzi Bunge litabaki kuwa la CCM akieleza kuwa Chaumma kitasimamisha wagombea katika majimbo yote nchini ili kwenda 'ulaloulalo' na CCM hadi kieleweke.
VIONGOZI wa Mashujaa FC wako katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Mudathir Said baada ya nyota huyo aliyeirejesha timu hiyo Ligi Kuu kumaliza mkataba wa kuendelea ...
Mbeya. Vikundi 32 vya wajasiriamali, maofisa usafirishaji na wakulima Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamenufaika na mkopo wa zaidi ya Sh700 milioni kutoka halmashauri ya wilaya ikiwa ni sehemu ya ...
Akizungumza na Mwanaspoti, Mwaluka alisema utunzaji wa uwanja ni gharama akiwashukuru wamiliki (Chama cha Mapinduzi) kwa sapoti waliyotoa kwa muda wote. Amesema pamoja na furaha yake kuongezeka timu ...