News

KATIBU wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu. Amesema kata zote zitakuwa ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea msaada wa pikipiki mbili aina ya bodaboda kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama kupitia doria na misako katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.