Musoma. Hujafa hujaumbika! Ni msemo unaoeleza maisha ya sasa ya Jackson Hamisi aliyepata ulemavu akiwa anatengeneza gari. Hamisi (26), mkazi wa Kijiji cha Masurura wilayani Butiama, Mkoa wa Mara ...
YANGA imefuzu hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 3-1 huku Maxi Nzengeli akitupia mabao mawili katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es ...