News

Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kupitia Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu, imefanikiwa kuzindua jumla ya miradi sita ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tisa (9).
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava, ameagiza kuanzia sasa Mfumo mpya wa Ununuzi wa Umma wa Kielektroniki (NeST) usiwe kificho, badala yake watu wapewe elimu ya namna ...