News

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM,Amos Makalla ameyakandia maandamano ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), kuwa hayajaleta maendeleo zaidi ilikuwa ni kujidhururisha.
Hatua hiyo ya ukomavu wa demokrasia ndani ya CHADEMA imepongezwa na watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wa haki za binadamu kwamba umekuwa wa huru na wa wazi. Mmoja wa wanaharakati ...