Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umee ...
Wataalamu hao walisema Sultani Makenga, aliyepigana upande wa Kagame mwanzoni mwa miaka ya 1990 nchini Rwanda na sasa ni mkuu ...
Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...
Waandamanaji wamesambaa katika mitaa mbalimbali jijini humo wakipambana na polisi, huku wengine wakichoma matairi barabarani.
Mkutano huo ulioongozwa na Rais Samia, ulihudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia, Hakainde Hichilema na Rais wa Jamhuri ya ...
TUANZIE wapi? Kutoka Sunday Manara, halafu kina Nico Njohole, kisha kina Hamis Gaga. Mahala gani hasa tumekosea hadi sasa ...
Mradi huu unaoitwa "Ukanda wa Kijani wa Kivu-Kinshasa" au Hifadhi ya Mto Kongo, mradi huu unalenga kuhifadhi Bonde la Kongo, shimo kubwa la kaboni la kitropiki duniani, huku ukisaidia maendeleo ...
Ingabo za Monusco zivuga ko zibandanya gufata mu mugongo igisirikare ca reta ya Kinshasa mu bikorwa vyaco vyo kuzibira umuhari M23 ubandanya wiyagurira akarere. Mw'itangazo yaraye isohoye ...
Mahakama ya China imemhukumu kifo mwanaume aliyeshtakiwa kwa kushambulia kwa kisu basi lililokuwa limewabeba wanafunzi wa shule ya Kijapani mashariki mwa China. Mwanaume huyo Mchina mwenye umri wa ...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Kinshasa, Rais Tshisekedi alitarajiwa kuitisha mkutano wa baraza kuu la ulinzi siku ya Ijumaa, Januari 25, utakaofuatiwa na mkutano wa baraza la mawaziri.
And it all starts with three easy sounds: ya ya ya. Langel has been making TikToks about vocal coaching since 2021. So when she attended the Texas Thespian Conference in November, she thought ...