Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umee ...
Waandamanaji wamesambaa katika mitaa mbalimbali jijini humo wakipambana na polisi, huku wengine wakichoma matairi barabarani.