Ugonjwa wa akili uko katika nafasi ya tatu katika orodha ya magonjwa yanayo waathiri wa Australia, magonjwa yanayo piku ugonjwa wa akili katika orodha hiyo ni saratani na ugonjwa wa moyo.
Simu zetu janja zinazidi kuwa na akili zaidi. Wiki iliyopita, Apple imekuwa kampuni ya hivi karibuni ya simu za mkononi kutangaza itaongeza akili mnemba (AI) kwenye mfumo wa uendeshaji wa simu zake.
31 Mei 2023 Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa ...