SAHAU ishu ya ndoa yake na Hamisa Mobetto. Achana na kitendo cha kusamehe fungate la ndoa na kukipiga katika mechi za Ligi ...
LICHA ya kwamba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi, timu ya Yanga imefika uwanjani ...
REAL Madrid wako tayari kuilipa Liverpool fidia ili kumchukua beki wa kulia wa timu hiyo na England, Trent Alexander-Arnold ...
KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique ameionya Liverpool kwamba vijana wake watakuwa hatari zaidi uwanjani Anfield.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia uamuzi wa Simba kugomea kucheza mechi ikidai imenyimwa haki ya kikanuni ya kufanya mazoezi ...
ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amesikitishwa na kitendo cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
WAKATI mchezo wa Kariakoo Dabi ukiahirishwa, huku mashabiki wakiwa tayari wamekata tiketi swali lililopo ni watarudishiwa ...
WAFANYABIASHARA wanaofanya shughuli zao Uwanja wa Benjamin Mkapa, wameonyesha masikitiko makubwa kufuatia kuahirishwa kwa ...
SHABIKI wa Simba aliyeonekana kuwa na hasira sana baada ya kupata taarifa ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya ...
KIUNGO mkabaji wa Argentina, Leandro Paredes amesema amekuwa hazungumzi na supastaa wa timu hiyo, Lionel Messi kwa kipindi ...
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga na ...
Mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba iliyokuwa imepangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results