News

Gwiji wa mieleka na mwigizaji maarufu, Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. Kwa mujibu wa taarifa ...
MIAKA mitatu tu iliyopita jina la Victorien Adebayor lilikuwa maarufu katika ardhi ya Tanzania ingawa mchezaji huyo wa Niger ...
KLABU ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake, Pacome Zouzoua baada ya ule wa awali kumalizika ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa FC, umetangaza kuachana na nyota watano wa kikosi hicho baada ya kutofikia makubaliano ya ...
UONGOZI wa Mbeya City uko katika hatua nzuri za kumsajili aliyekuwa beki wa kushoto wa maafande wa Mashujaa FC, Yahya Mbegu ...
LIGI ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) inayoshirikisha timu za wanaume na wanawake, imezidi kushika hisia za wengi huku baadhi ya ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa, huenda ukaachana na nyota watatu wa kikosi cha kwanza msimu huu, baada ya kutokuwa na ...
Ni safari ya ndoto kwa Offen Francis Chikola ambaye amejiunga na mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa mkataba ...
Wakati Simba ikiripotiwa kuwa mbioni kumnasa Jonathan Sowah wa Singida Black Stars, Wachambuzi na makocha wa soka wameonyesha ...
BARCELONA imekamilisha dili la mkopo la kumnasa Marcus Rashford, ikimsaidia staa huyo wa England kichaka cha kwenda kujificha ...
LIVERPOOL imemnasa staa wao wa Pauni 79 milioni, straika Hugo Ekitike ikinyakua saini yake kutoka kwenye klabu ya Eintracht ...
MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema tetesi zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutimuliwa kazi katika ofisi za Ghalib Said ...