News

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kustawisha ustawi wa kidemokrasia ...
NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, akizungumza katika zoezi la kuhitimisha ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria katika usimamizi wa utumishi wa umma leo ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya sheria na baadhi ya kanuni zake ili ...
Mtanzania Waziri Mhagama ahimiza ushirikiano - FeaturedWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama akizungumza na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi yake ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha ...
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mitaa na kata mbalimbali za jimbo hilo kwa lengo la kutatua kero walizonazo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bara, Abdulrahaman Kinana amesema sheria ya uchaguzi iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni imekidhi mahitaji ya Kimataifa na Afrika. Hayo ameyabainisha leo ...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema wakazi wote waliovamia, kujenga nyumba na kuishi maeneo yasiyoruhusiwa kuzunguka uwanja wa ndege wa Mwanza waondoke mara moja na ...
HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza imefungua rasmi msimu wa mashindano ya michezo kwa shule za Sekondari (Umisseta) na Msingi (Umitashumta) mwaka 2024, huku kampuni ya simu ya Tecno ikiunga mkono kwa ...
Zaidi ya mabondia 10 wa ngumi za kulipwa wamepima uzito leo Desemba 25,2023 tayari kwa pambano lao Usiku wa Mabingwa, litakalopigwa kesho Ubungo Plaza, Dar es Salaam. Kila bondia alifika eneo la ...
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umekamilisha tathmini ya awali ya vihatarishi vya usalama na afya (baseline occupational safety and health risk assessment) katika eneo la mradi wa ...