News

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka Watanzania kuendeleza mapambano ya kudai Katiba Mpya na kuondolewa kwa ...
Katika mkutano huo, Lema alisema, “Mimi ni Mmachame na Mbowe Mmachame, lakini kwa Lissu, sioni aibu kusema mbele ya Mungu ...
Katika harakati za kisiasa, Freeman Aikael Mbowe aliingia rasmi katika siasa mwaka 1992, akiwa miongoni mwa waasisi wa chama cha CHADEMA kilichosajiliwa kwa usajili wa kudumu mwaka 1993 chini ya ...
Hata hivyo, baadhi ya waasisi wa Chadema - ambao si wengi kwa sasa, wanamwona Lissu kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa na siasa zake zinaonekana haziendani sana na misingi ya Chadema ya awali.
Baada ya uongozi wa Chadema kulipuuza kundi hilo likiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Benson Kigaila hatimaye liliamua ...
Chama kikuu cha upinzani, Chadema kimefungua dirisha kwa wanachama wake kuchukua fomu kuwania nafasi za uongozi, huku mmoja ya kigogo wake, Tundu Lissu, akiwa wa kwanza kujitwika jukumu la kuwania ...
Wabunge 19 wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema walioitwa na kamati kuu ya chama hicho kwa ajili ya kuhojiwa kutokana na kukiuka masharti ya chama hicho wamegoma kufika mbele ya ...