Serikali ya Tanzania imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miaka miwili zuio hilo pia linahusisha machapisho ya mtandaoni. Gazeti hilo linafungiwa kwa kile kilicho arifiwa kuwa ni kuchapisha ...